04 January
0


I do not want to bore my powerful stakeholders I want to bring them good thing every day, support and advice are a good thing from you.Today's a special song for you of GOSPEL AUDIO

             www.wakristo.com website is dedicated to promoting Gospel entertainment through music. This is a platform for Gospel music lovers / Christians worldwide to listen and download newly released Gospel audio and music video tunes from their favorite Gospel artistes /ministers.

Habari Njema kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza tunautambulisha kwako wimbo mpya uanoitwa Nitakutukauza kutoka kwa mwimbaji mpya anaeitwa Emmanuel Mashauri Salehe.
“Mwimbaji huyu anatokea Mwanza - Tanzania umetolewa na studio za Msadukayo Band by producer sarehe (+255763335431) studio ipo Kiloleli-Mwanza.
Ujumbe: Sina budi ya kukushukuru ewe MUNGU wangu umenitoa mbali BABA mikono mwa mtu mwovu ibilisi-Ndio yatupasa kumshukuru MUNGU kwa kuwa hututoa katika dhambi na kutupa neema ya wokovu hivyo kwa kila jambo yatupasa tumshukuru Mungu.
Karibu kusikiliza wimbo huu ambao ni imani yetu kuwa utakubariki na kukugusa kwa namna ya pekee, Amen.
Download Song

Kwa mawasiliano zaidi na Emmanuel Mashauri Sarehe wasiliana naye kupitia:
Simu/WhatsApp: +255763335431
Facebook: Emmanuel Mashauri
Instagram: @Emmanuel
Youtube: SIR MASHAURI

               www.wakristo.com it allow you to download the song through LINK without any doubt,easy to click and get to be in your phone "FREE"

Do not allow the music to be missed everyday here.This www.wakristo.com brings a dramatic drama every day that has a trend in networks,also let's hang to distribute our music so far. www.wakristo.com is a homepage for music.

By placing the gospel songs and ads on our website contact us: -

  • Phone number + 255676261328 /
                      +255754404921
  • Watsapp +255676261328
  • Email To Specialist: haxxanrobert@gmail.com

0 Comments:

Post a Comment

 
close