Imani Eric Shoo-Ni Kweli |
AUDIO | Imani Eric Shoo-Ni Kweli | Download Gospel Song
www.wakristo.com website is dedicated to promoting Gospel entertainment through music. This is a platform for Gospel music lovers / Christians worldwide to listen and download newly released Gospel audio and music video tunes from their favorite Gospel artistes /ministers.
Lyrics
...........................................................................................
Ni miaka michache nilipokufahamu
Ukafanyika daraja langu tena mwokozi wangu
Ukawa nguzo ya maisha yangu, ya huduma yangu, ya safari yangu ewe Yesu
Nimejua hakuna mwingine anayestahili
Kupokea hiyo heshima ila wewe BWANA
Umekuwa ngao yangu tena kigao changu
Msaidizi wangu nyakati zote
CH: Ni kweli BWANA ni kweli
Ni kweli BWANA ni kweli
Ni kweli BWANA ni kweli
Sina Rafiki mwingine Bwana Ni kweli
Ni kweli BWANA ni kweli
Ni kweli BWANA ni kweli
Ni kweli BWANA ni kweli
Ninakutegemea wewe Ni Kweli
Unayofanya yemepita kipimo
Maishani mwangu yamepita maelezo
Maajabu yako yamepita kipimo
Hata utakayoyafanya yatapita kipimo
Muujiza wa kwanza kwangu ni wewe
NI KWELI
Mbaraka mkubwa kuliko yote
NI KWELI
Ni kweli BWANA Ni kweli
Ninakutegemea Wewe ni Kweli
Ni kweli BWANA ni kweli
Ni kweli BWANA ni kweli
Ni kweli BWANA ni kweli
Ninakutegemea wewe Ni Kweli
www.wakristo.com it allow you to download the song through LINK without any doubt,easy to click and get to be in your phone "FREE"
Do not allow the music to be missed everyday here.This www.wakristo.com brings a dramatic drama every day that has a trend in networks,also let's hang to distribute our music so far. www.wakristo.com is a homepage for music.
- Facebook : @Wakristo Media
- Twitter : @Wakristo Media
- YouTube : @Wakristo Media
- Email To Specialist : wakristomusic@gmail.com
Post a Comment
0Comments